Empowering Mbalawala Women
 
 
 
KUHUSU MWO

KUHUSU MWO

Utangulizi Mbalawala Women Organization (MWO) ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) lililopo katika wilaya ya Mbinga. Makao makuu ya MWO yapo katika kijiji cha Ruanda, eneo la center D. Mbalawala […]

 
Lengo kuu la MWO

Lengo kuu la MWO

Lengo kuu la MWO Kuwawezesha wanawake kupata fursa ya ajira katika miradi mbalimbali kupitia uwepo wa mgodi wa makaa ya mawe. Ziada itakayopatikana kutokana na uzalishaji katika miradi hiyo itatumika […]

 
USHIRIKIANO

USHIRIKIANO

Mbalawala Women Organization imekuwa ikishirikiana na jamii kwa: a) Kusaidia shughuli za vikundi vidogo vidogo katika miradi ya ki-uchumi. Tayari vikundi viwili vimefaidika katika miradi ya kuku na kilimo cha […]