Empowering Mbalawala Women
 
 
 

Archive for August, 2013

 
 • Shamba la mpunga

  Shamba la mpunga

  Msimu wa mwaka 2012, ekari 2 zililimwa, jumla ya gunia 18 zilipatikana. Mpango uliopo ni kupanua eneo hilo kwa kilimo cha mpunga hadi kufikia ekari 10.

   
   
 • Vitofali vya kupikia

  Vitofali vya kupikia

  Utengenezaji wa vitofali vya kupikia vya makaa ya mawe Lengo: Kutunza mazingira – kupunguza ukataji miti kwa kutengeneza na kuhamasisha jamii kutumia nishati mbadala ya vitofali vya kupikia vya makaa […]