Empowering Mbalawala Women
 
 
 

Archive for September, 2013

 
 • Uwezeshwaji wa wanawake

  Uwezeshwaji wa wanawake

  Kuwawezesha wanawake kupata fursa ya ajira katika miradi mbalimbali kupitia uwepo wa mgodi wa makaa ya mawe. Ziada itakayopatikana kutokana na uzalishaji katika miradi hiyo itatumika katika huduma za jamii […]

   
   
 • Ofisi za MWO

  Ofisi za MWO

  Utangulizi Mbalawala Women Organization (MWO) ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) lililopo katika wilaya ya Mbinga. Makao makuu ya MWO yapo katika kijiji cha Ruanda, eneo la center D.