Kuboresha maisha ya jamii inayozunguka mgodi wa makaa ya mawe wa Ngaka kwa kuwawezesha wanawake kupata ajira na fursa nyingine za kijamii na kiuchumi ambazo zinaenda sambamba na utunzaji wa mazingira kupitia matumizi mazuri ya maliasili zilizopo.