Miradi iliyopo ni :

> Huduma ya chakula na usafi katika kambi ya mgodi

> Programu ya shule

> Bustani ya mboga na matunda

> Utengenezaji wa vitofali vya kupikia vya makaa ya mawe

> Ufinyanzi wa vyungu

> Shamba la mpunga Miradi inayotarajiwa hapo baadae ni pamoja na bwawa la samaki.

Huduma ya chakula na usafi katika kambi ya mgodi Lengo:

  • Kuwa na uhakika wa huduma bora ya chakula na usafi katika kambi ya mgodi
  • Kutunza mazingira Walioajiriwa katika kitengo hiki ni 12.