Bustani ya umwagiliaji ya mboga na matunda

Lengo:

  • Kuzalisha matunda na mboga zitakazotosheleza mahitaji ya wafanyakazi wa mgodi na maeneo ya jirani.
  • Kuboresha afya na lishe ya wafanyakazi wa mgodi na jamii kwa ujumla .
  • Kuonyesha njia bora za kilimo cha kisasa. • Kutoa fursa ya ajira na kuongeza kipato Eneo la bustani ambalo ni hekta 2 lipo katika hatua ya maandalizi ya vitalu. Ujenzi wa mfereji wa umwagiliaji umeshaanza, unatarajiwa kukamilika kabla ya Octoba 2013. Wanawake 4 wameajiriwa kupitia mradi huu.