Msimu wa mwaka 2012, ekari 2 zililimwa, jumla ya gunia 18 zilipatikana. Mpango uliopo ni kupanua eneo hilo kwa kilimo cha mpunga hadi kufikia ekari 10.